Wasafirishaji wa mifugo ya ng’ombe na mbuzi kisiwani hapa wameeleza changamoto zinazowakumba na kushindwa kusafirisha mifugo ...
Swali vichwani mwa wafuatiliaji masuala ya siasa, amani na usalama ni je, wakuu wa nchi wanaokutana kesho Jumamosi Februari 8 ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewahimiza wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya biashara kwa uadilifu na pia wawe na huruma kwa wananchi kwa ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amewaonya viongozi kutocheza na fedha za mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ...
Wagonjwa wa figo katika Mkoa wa Manyara wataanza kunufaika na huduma ya kusafisha figo baada ya kupatikana mashine sita zenye ...
Umbali kutoka Bukavu mpaka Goma, kwa barabara ni kilometa 193.9. Ni miji mwili, mmoja upo ncha ya Kusini ya Ziwa Kivu na mwingine ncha ya Kaskazini. Bukavu ni Kusini na Goma Kaskazini. Miji ...
Mkazi wa Salasala, Goodnees Remy(32) na raia wa Nigeria, Emmanuel Chigbo(42) maarufu kama Chasi, wamefikishwa katika Mahakama ...
Viongozi wa Kampuni zilizo chini ya Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) wameapa kuendeleza maono ya Mtukufu Aga Khan IV ...
Serikali imesema kuwa inatarajia kuwa na mashahidi 12, watakaotoa ushahidi katika kesi ya kusafirisha binadamu kimagendo, inayomkabili raia ya Ufaransa, Michael Mroivili.
Bunge limeitaka Serikali ifanye tathmini na uhakiki wa huduma zinazotolewa na kila mtumishi katika ofisi ya ardhi jijini Dodoma, ili kuchukua hatua za kinidhamu kwa watumishi wasio waaminifu.
Mkutano huo, unatarajiwa kuzungumzia mgogoro unaoendelea Mashariki mwa DR Congo baina ya majeshi ya Serikali dhidi ya vikosi vya M23.
Wengi walimfahamu kutokana na namna alivyokuwa akiuvaa uhusika wa uchungaji katika filamu alizocheza. Biblia mkononi, kukemea na kuondoa mapepo kwa sana ndivyo alivyokuwa akifanya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results